Sauti za Kuimba Community

Welcome to Sauti za Kuimba Community Forums.

EKASH MASS

Posted by MBONDO BERNARD - Jun 03, 2018


MASS BY MBONDO BERNARD MWANIA TEL: +254701943386 EMAIL: bernajemo@gmail.com ADDRESS: 68 – 90119 Matuu (KENYA) UTUHURUMIE S/A Bwana( ee )bwana bwana tuhurumie T/B (ee bwana) All tumekosa bwana tuhurumie *2 S/A kristu (ee) kristu kristu tuhurumie T/B (ee bwana) All tumekosa bwana tuhurumie S/A Bwana ( ee )bwana bwana tuhurumie T/B (ee bwana) All tumekosa bwana tuhurumie *2 Utukufu Utukufu juu kwa mungu – na Amani kote duniani Kwao watu wa mapenzi mema Tunakusifu baba twakuheshimu baba twakuabudu baba twakutukuza *2 Twakushukuru mungu mfalme – twakushukuru kwau tukufu wako Mfalme wa mbingu ndiwe baba yetu Mwokozi wetu yesu kristu – mwana pekee mwana wake baba Uliye mwaanakondoo wa mungu Uondoaye dhambi zote – uondoaye dhambi za dunia Maombi yetu yapokee kwako Unayeketi kuume kwake – unayeketi kuume kwa baba Sikiza sala zetu wana wako Pekee yako ndiwe bwana – pekee yako mkombozi mkuu Pekee yaako u’mtakatifu Na kwa pamoja naye roho – na ndani yake baba watukuzwa Ewe yesu milele amina ALELUYIA Aleluyia aleluyia aleluyia aleluyia aleluyia*2 NASADIKI S Nasadiki kwa mungu mmoja All Nasadiki kweli S/A Ndiye baba yetu mwenyezi All Ninasadiki S Mwumba mbingu pia dunia All nasadiki kweli S/A Nasadiki kwa yesu kristu All Ninasadiki Nasadi (ninasadiki) nasadi (ninasadiki) nasadiki mimi kweli ninasadiki *2 2. Mwumba mbingu pia dunia – Mwenye kuzaliwa kwa baba – Akapata mwili kwa roho – Kazaliwa naye bikira – 3. Kisha yeye kasulubiwa – Kwa mamlaka yake pilato – Kwa ajili yetu kateswa – Ye akafa na akazikwa – 4. Kafufuka katika wafu – Akapaa juu mbinguni – Ameketi kuume kwake – Mungu baba yetu mwenyezi – 5. Ndipo atakapotokea – Ili awahukumu wote – Kwake Roho mtakatifu – Kwa kanisa la katoliki – 6. Ushirika wa watakatifu – Ondoleo la dhambi zetu – Nangojea ufufuko wa miili – Na uzima wa milele – MAOMBI Ee bwana sikia kilio chetu – sisi (bwana) tunakulilia jangwani MTAKATIFU Mtakatifu (mmh) mtakatifu (ni) bwana mungu wa majeshi *2 Mbingu na dunia mbingu na dunia zimejaa utukufu wako *2 Hosanna( hosanna) hosanna (hosanna) hosanna, juu mbinguni *2 Mbarikiwa (mmh) mbarikiwa (ni) yeye ajaye kwa jina la bwana *2 Hosanna ( hosanna) hosanna (hosanna) hosanna, juu mbinguni *2 FUMBO LA IMANI Twakiri kristu alikufa (kristu) akafufuka {kristu atakuja kwetu tena} *2 AMINA Aamina aamina aamina aamina aamina *2 MWANAKONDOO Ee mwanakondoo wa mungu – mwana wake baba ee mwana ee mwana tuhurumie Ee mwanakondoo wa mungu – mwana wake baba ee mwana ee mwana tuhurumie Ee mwanakondoo wa mungu – mwana wake baba ee mwana ee mwana tujalie Amani

nusu kwa nusu music notes

Posted by titus nzangi mwangangi - May 17, 2018


HI, kindly upload the music notes for the song "Nusu kwa nusu" by Deo Nkoko thanks in advance. Regards, Nzangi

TWALETA VIPAJI

Posted by TITUS OMBATI - Feb 08, 2018


Twaleta vipaji vyetu kwako bwana twaomba upokee*2 japo ni kidogo ee baba pokea, twomba baraka twaomba uzima*2 1.mkate na divai - twomba upokee mazao ya mashamba mifugo wetu wote

.

Posted by Eric Oduor - Jan 22, 2018


Nomba wimbo/lyrics (banana mass) naezapataje??

Nyimbo tamutamu

Posted by MBONDO BERNARD - Dec 09, 2017


Tutakuimbia bwana nyimbo tamu,tutakusifu bila mwisho kwa nyimbo zetu za sifa maana tutaimba tukifurahi milele na watakatifu wa mungu 1. Mbinguni tutaimba bila mwisho aleluyia aleluyia 2. Tutarukaruka na kucheza nyimbo tamu aleluyia 3. Milele tutakuimbia tutatangaza sifa zako aleluhyia