Sauti za Kuimba Community

Welcome to Sauti za Kuimba Community Forums.

hakuna midi ya hizo nyimbo,namaanisha naweza kupakua wimbo nikawa na usikiliza

Posted by LAMECK RICHARD MEZHANI - May 06, 2015

hakuna midi ya hizo nyimbo,namaanisha naweza kupakua wimbo nikawa na usikiliza

Congrats

Posted by DOMINIC - Apr 27, 2015

I really appreciate your work. Actually NOBODY else has managed to write the songs and given them out. Hongera na Mungu awabariki saaaaaaana.

Nafurahia juhudi zenyu hususan Bwana Martin kwa kuendeleza huduma hii ya kutubariki kwa mistari ya nyimbo kemkem...... Ningefurahia pia kama

Posted by STEPHEN KILONZO - Mar 09, 2015

Nafurahia juhudi zenyu hususan Bwana Martin kwa kuendeleza huduma hii ya kutubariki kwa mistari ya nyimbo kemkem...... Ningefurahia pia kama tutaweza kupokea na kusikiliza nyimbo zenyewe hapa kwa hii tuvuti.

MSAADA WA NOTA ZA NYIMO.

Posted by Yakobo Mwanuke - Nov 19, 2014

Jamani poleni kwa majukum. ivi mnaweza kutusaidia nota za nyimbo ambazo manatusaidia kuweka maneno yake hapa mtandaoni?
nitafurahi sana tena sana endapo mtatusaidia na nota zake tafadhali.
ahsante sana.