Sauti za Kuimba Community

Welcome to Sauti za Kuimba Community Forums.

MSAADA WA NOTA ZA NYIMO.

Posted by Yakobo Mwanuke - Nov 19, 2014


amani poleni kwa majukum. ivi mnaweza kutusaidia nota za nyimbo ambazo manatusaidia kuweka maneno yake hapa mtandaoni?
nitafurahi sana tena sana endapo mtatusaidia na nota zake tafadhali.
ahsante sana.

could it be possible that we get the music scripts

Posted by MWALIMU MUHATI - Sep 22, 2014


could it be possible that we get the music scripts

entrance

Posted by Bernard wambua - Sep 06, 2014


entrance

kanuni za kuwa mtunzi bora

Posted by Robi Oscar - Sep 03, 2014


nahitaji kufahamu ni kanuni zipi inabidi nizipitie na kuzitumia kama nataka kuwa mtunzi bora mtunzi aliyekamilika>

Translation

Posted by Penna - Aug 05, 2014


I'd like to request all users of this website who understand native languages of the songs here to translate them. I think it would be useful to those who don't understand those languages. It is also a way of evangelizing.