Nyimbo tamutamu - Sauti za Kuimba Community

Posted by MBONDO BERNARD - Dec 09, 2017


Tutakuimbia bwana nyimbo tamu,tutakusifu bila mwisho kwa nyimbo zetu za sifa maana tutaimba tukifurahi milele na watakatifu wa mungu 1. Mbinguni tutaimba bila mwisho aleluyia aleluyia 2. Tutarukaruka na kucheza nyimbo tamu aleluyia 3. Milele tutakuimbia tutatangaza sifa zako aleluhyia