TWALETA VIPAJI - Sauti za Kuimba Community

Posted by TITUS OMBATI - Feb 08, 2018


Twaleta vipaji vyetu kwako bwana twaomba upokee*2 japo ni kidogo ee baba pokea, twomba baraka twaomba uzima*2 1.mkate na divai - twomba upokee mazao ya mashamba mifugo wetu wote