Baba Yetu (Kilimanjaro Moshi)

Baba Yetu (Kilimanjaro Moshi)
Performed by-
CategoryTBA
Views3,572

Baba Yetu (Kilimanjaro Moshi) Lyrics

  • Baba Baba Baba yetu uliye mbinguni,
    Jina lako litukuzwe Baba *2 litukuzwe


    Utakalo lifanyike - Baba yetu uliye mbinguni
    Duniani hata na mbinguni -
    Utupe leo mkate wetu -
    Tusamehe na makosa yetu -
  • Kama vile tuwasameheavyo -
    Wale wote walotukosea -
    Usitutie kishawishini -
    Maovuni Baba utuopoe -