Baba Yetu (Misa Elizabeti)

Baba Yetu (Misa Elizabeti)
Performed by-
CategoryTBA
Views2,656

Baba Yetu (Misa Elizabeti) Lyrics

  • Baba yetu wa mbinguni (jina) Jina lako litukuzwe daima


    Ufalme wako utufikie, duniani Kama mbinguni (Baba)
  • Utupe leo riziki zetu, utusamehe makosa yetu (Baba)
  • Kama tunavyowasameha, wale wanaotukosea (Baba)
  • Usitutie kishawishini, utuopoe maovuni (Baba)
  • Kwa kuwa ufalme ni wako Baba, na nguvu na utukufu (Baba)