Baba Yetu (Misa Voi)

Baba Yetu (Misa Voi)
Performed by-
CategoryTBA
Views2,825

Baba Yetu (Misa Voi) Lyrics

  • [v:] Baba yetu
    [w:] Baba yetu uliye mbinguni *2


    Jina lako litukuzwe, Ufalme wako ufike
    Utakalo lifanyike, Duniani kama mbinguni
  • Tupe leo riziki zetu, riziki za kila siku,
    Tusamehe makosa yetu,
    kama tunavyowasamehe, nasi waliotukosea
  • Situtie majaribuni, walakini utuopoe
    Tuopoe maovuni, tuopoe maovuni
  • Kwa kuwa falme, ufalme ni wako
    Na nguvu, utukufu milele
    Utukufu milele, utukufu milele