Bwana Awabariki

Bwana Awabariki
Performed by-
CategoryHarusi
Views10,674

Bwana Awabariki Lyrics

  1. Bwana awabariki, Bwana awabariki
    Bwana awabariki milele

  2. Ukimcha Mungu - Bwana awabariki
    Na kutembea -
    Pamoja naye -
    Heri ni yako -
  3. Na mke wako -
    Atastawi -
    Kama mzabibu -
    Wenye matunda -
  4. Watoto wako -
    Watafanana -
    Na machipuko -
    Ya mzeituni -
  5. Ubarikiwe -
    Kutoka Saioni -
    Maishani mwetu -
    Amani kwako -