Bwana Ni Nani Lyrics

BWANA NI NANI

@ J. C. Shomaly

Bwana ni nani ni nani?
Bwana ni nani atakayekaaa katika hema yako,
ee Bwana } *2
{ Ni! na! ni! atakayefanya maskani yake
katika kilima chako,
Ni nani, na ni nani, nani na nani,
ni na-ni, na ni nani Bwana } *2

  1. Ni yeye aendaye kwa ukamilifu na kuitenda haki
    Asemaye kweli, kwa moyo wake.
  2. Asiyesingizia kwa ulimi wake ndiye anastahili,
    Asemaye kweli, kwa moyo wake.
  3. Bwana ni nani atakayepanda katika kilima chako
    Kilima chako, kitakatifu
Bwana Ni Nani
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMMbinguni Kutakuwa Raha (Vol 4)
CATEGORYZaburi
REFPs. 15
MUSIC KEYA major
TIME SIGNATURE2
4
  • Comments