Bwana Yesu Kafufuka Lyrics

BWANA YESU KAFUFUKA

@ (traditional)

Bwana Yesu kafufuka,
tumwimbie aleluya, aleluya,
Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya,

  1. Kweli Yesu kafufuka, asubuhi na mapema
  2. Kaburini ametoka, vile alivyoagua,
  3. Ameishinda mauti, amemshinda shetani
  4. Mbingu imefunguliwa, uzima umerudishwa,
  5. Sitakufa nitaishi, kutaja sifa za Bwana
  6. Ewe Yesu mshindaji, tuhurumie sisi
  7. Shukrani kwa Mungu wetu, kwa kuwa yeye ni mwema,
Bwana Yesu Kafufuka
COMPOSER(traditional)
CATEGORYPasaka (Easter)
MUSIC KEYG Major
TIME SIGNATURE3
8


The same melody as Bwana Yesu Kazaliwa
  • Comments