Chakula cha uwingu ni tayari
Karamu ya upendo na amani
Sogea (we) jongea (we) upokee *2
Utaonja utamu wa mbinguni *2
- Chakula cha mbingu ni mwili wa Yesu na damu yake
- Sogea uone mapenzi ya Bwana yaliyo bora
- Atakugawia uzima wa mbingu ulio bora
- Atakushibisha atakubariki na kukunywesha
|
|
|