Ee Baba Twakuomba Lyrics

EE BABA TWAKUOMBA

@ Chris F. Chill

Ee Baba twakuomba upokee sadaka yetu tunayoleta
Ee Baba twakuomba upokee vipaji vyetu tunavyoleta
Ee Baba twakuomba, ee Baba upokee
Ee Baba upokee sadaka yetu
Ikupendeze, ikupendeze ikupendeze ee Baba * 2

  1. Mkate na divai ni mazao ya mashamba yetu
    Na kazi ya mikono yetu wanadamu, tunakusihi upokee
  2. Kama ulivyo-ipokea sadaka,
    Ya Abeli mtumishi wako, tunakusihi upokee
Ee Baba Twakuomba
COMPOSERChris F. Chill
CHOIRMoyo Safi (Unga Ltd)
ALBUMNikupe Nini Mungu Wangu
CATEGORYOffertory/Sadaka
  • Comments