Ee Mungu Wangu Umenichunguza Lyrics

EE MUNGU WANGU UMENICHUNGUZA

{ Ee Mungu wangu umenichunguza,
Ukanifahamu nilivyo mimi } *2
{ Wayafahamu matendo yangu
Nikiketi au kusimama, wewe unanijua mimi } *2

 1. Nikiwa kazini waniona - wewe unanijua mimi
  Wewe wajua mawazo yangu -
  Ningali bado nafikiria -
  Nikifanya mabaya gizani -
 2. Wanizunguka kila upande -
  Waniwekea mkono wako -
  Maarifa hayo ni ya ajabu -
  Siwezi kuyaelewa mimi -
 3. Nikimbie wapi mbali na wewe -
  Niende wapi nikajifiche -
  Nikipanda juu wewe uko -
  Nikiwa safarini waniona -
 4. Umeniumba mwili na roho -
  Ulinitengeneza tumboni -
  ` Hata kabla sijazaliwa -
  Uwezo wako ni wa ajabu -
Ee Mungu Wangu Umenichunguza
CHOIRSt. Peter Oysterbay
CATEGORYZaburi
REFPs. 139
 • Comments