Ee Mwanakondoo

Ee Mwanakondoo
Performed by-
CategoryTBA
Views4,417

Ee Mwanakondoo Lyrics

  • Ee Mwana kondoo wa Mungu
    Uondoaye dhambi za dunia
    Ee mwana ee ee mwana ee wa Mungu
    Uondoaye dhambi za dunia utuhurumie
    Ee mwana kondoo wa Mungu }*2
  • Utujalie amani utujalie amani
    utujalie amani utujalie ee Mwana
    Ee Mwana utujalie amani
    Utujalie amani