Ekaristia ni Chakula Lyrics

EKARISTIA NI CHAKULA

@ E. I. Kalluh

{ Ekaristia ni chakula, chakula cha uzima wa milele
Ee mkate wa Mbinguni, shibisha roho zetu } *2

  1. Yesu Mwokozi kashuka chini kwetu, tukampokee
  2. Maumbo haya ni mwili wake Yesu, twakiri sote
  3. Yesu mpenzi pokea moyo wangu, na mimi wako
  4. Ninakupenda kuliko nafsi yangu, Mwokozi wangu
  5. Nakuabudu ee Mungu wangu mwenye, heri ya mbingu
Ekaristia ni Chakula
COMPOSERE. I. Kalluh
CHOIRMoyo Safi (Unga Ltd)
ALBUMNikupe Nini Mungu Wangu
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE4
4
NOTES Open PDF
  • Comments