Harusi Siri Kubwa Lyrics

HARUSI SIRI KUBWA

 1. Harusi siri kubwa kweli kwa Mungu
  Wawili kuwa kitu kimoja ni upendo

  Haya shangilieni tuwaimbieni
  Sote tuwaombeeni waishi vyema

 2. Ahadi kwa Mungu mmetoa timizeni
  Upendo uwe msingi imara
 3. Baraka zake Mungu ziwe pamoja nanyi
  Furaha mpende watoto Mungu awajalie
 4. Bwana arusi heko kwa bibi arusi
  Mungu awajalie awajaze neema
Harusi Siri Kubwa
CHOIR
CATEGORYHarusi
 • Comments