{ Heri mtu yule, amchaye Bwana,
Amchaye Bwana, aendaye katika njia zake } *2
- Taabu ya mikono yako utaila,
Utakuwa mwenye heri na baraka
- Mkeo atakuwa kama mzabibu,
Uzaao nyumbani mwa-ko
- Wanao kama miche ya mizeituni,
Wakizunguka meza yako meza yako
- Hakika amebariki-wa hivyo
Mtu yule amchaye Bwana Bwana Mungu
|
|
|