Hii Ndiyo Siku Lyrics

HII NDIYO SIKU

Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana
Tuishangilie na kufurahia nayo

 1. Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana
  Tuishangilie na kufurahia nayo
 2. Mkono wa kuume umetenda makuu
  Mkono wa kuume imenisimamia
 3. Sitakufa moyo bali nitaishi mzima
  Nitasimulia matendo yake Bwana
 4. Bwana nguvu yangu na pia wimbo wangu
  Yeye amekufa heri wokovu wetu
 5. Tumshukuru Bwana kwa kuwa yu mwema
  Na fadhili zake zinadumu milele
 6. Neno hili zuri limetoka kwa Bwana
  Nalo ni uzima sana maishani mwetu
Hii Ndiyo Siku
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments