Hongera Hongera

Hongera Hongera
Performed by-
CategoryHarusi
Views4,266

Hongera Hongera Lyrics

  1. { Hongera hongera
    Bwana harusi hongera na bibi harusi } *2
    Kwa kujongea altare yake Bwana
    Upendo wenu mmeudhihirisha
    Muishi kwa amani siku zote, katika nyumba yenu.
    Mungu awabariki awalinde maisha yenu yote

  2. Tunawatakia heri, salama na amani
    Shikeni agano lenu, kwa uaminifu
  3. Mungu awajalieni, baraka na rehema
    Wajalieni watoto walo watakatifu
  4. Leo mmedhihirisha, upendo thabiti
    Alounganisha Mungu, yasitenganishwe.