Hongera Maria Lyrics

HONGERA MARIA

 1. Hongera hongera mama Maria
  Kwa kumzaa mwanao leo hii

  Bwana Yesu lala lala
  Mtoto Yesu lala lala

 2. Ee mtoto Yesu siuzie mwanzo wa Mungu
 3. Twende sote Bethlehemu
  tukiimba nyimbo za furaha
 4. Amekuja kwa ajili yetu tufurahi Yesu kazaliwa
Hongera Maria
CHOIR
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
 • Comments