Huyu ndiye Emmanueli Lyrics

HUYU NDIYE EMMANUELI

[b:] Huyu ndiye
[w:] Emmanueli yaani Mungu pamoja nasi
[b:] Aliyetajwa
[w:] Na malaika kwamba atakuwa mkombozi
Tufurahi aleluya tufurahi aleluya
Mungu mwana leo kafufuka

  1. Amefufuka mkombozi wetu,
    tufurahi tuimbe aleluya
  2. Kaburini hayumo ni mzima,
    tufurahi tuimbe aleluya
  3. Ukombozi sassa umetimia,
    tufurahi tuimbe aleluya
Huyu ndiye Emmanueli
CHOIR
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
  • Comments