{ Imbeni sifa zake Bwana, msifuni Bwana msifuni
Hubirini, hubirini, hubirini,
Hubirini matendo yake kwa kila kiumbe } *2
Tangazeni matendo ya Bwana
kuto -ka ma -sha -ri -ki na magharibi
Se -me -ni Bwana ni mkuu sana sana sana
{ Tukuzeni sifa za Bwana (tukuzeni sifa za Bwana)
Fikirini matendo ya Bwana,
Fikirini matendo yake yanatisha kama nini } *2
- Waambieni watu, matendo ya Bwana,
Yanatisha sana, yatisha sana
- Zisemeni sifa, sifa zake Bwana,
Hubirini Neno, la Mungu wetu
- Bwana ni mkuu, mwenye kusifiwa,
Atukuzwe Mungu, milele yote
|
|
|