Karibu Moyoni Mwangu Lyrics

KARIBU MOYONI MWANGU

@ D. J. Mallya

Karibu moyoni mwangu (Bwana),
Karibu nakukaribisha (sana)
Karibu moyoni mwangu karibu karibu Bwana

  1. Karibu moyoni mwangu, karibu uungane nami
    Karibu moyoni mwangu karibu karibu Bwana
  2. Unipe uzima wako, unipe na furaha yako . . .
  3. Unipe na pendo lako, unipe tumaini lako . . .
  4. Uniimarishe Bwana, katika njia yenye haki . . .
  5. Karibu siku ya leo, karibu nakukaribisha . . .
Karibu Moyoni Mwangu
COMPOSERD. J. Mallya
CHOIRMoyo Safi (Unga Ltd)
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
MUSIC KEYA Major
TIME SIGNATURE2
4
  • Comments