Kila Mwenye Pumzi

Kila Mwenye Pumzi
Performed byOur Lady of Fatima Kongowea
AlbumKila Mwenye Pumzi (vol 4)
CategoryEntrance / Mwanzo
Views8,838

Kila Mwenye Pumzi Lyrics

  1. Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya *2
    Kila mwenye pumzi, na amsifu Bwana *2

  2. Msifuni Mungu katika patakatifu pake,
    Msifuni katika anga la uweza wake *2
  3. Msifuni Mungu kwa matendo yake makuu
    Msifuni kadiri ya wingi wa ukuu wake *2
  4. Msifuni Mungu kwa mvumo wa baragumu
    Msifuni sifuni kwa kinanda na kinubi *2
  5. Msifuni Mungu kwa matari na kucheza
    Msifuni sifuni kwa zeze na filimbi *2
  6. Msifuni Mungu kwa matoazi yaliayo
    Msifuni sifuni kwa matoazi yavumayo *2