Kuhani Hata Milele Lyrics

KUHANI HATA MILELE

@ J. C. Shomaly

NDIWE KUHANI

[b] Ndiwe kuhani hata milele -
[w] kuhani hata milele
[b] Kwa mfano wake Melkisedeki -
[w] kuhani hata milele
[t] Kuhani - kuhani hata milele *2
(a] Kuhani - kuhani hata milele,
kwa mfano wake Melkisedeki
[b] kuhani - kuhani hata milele

  1. Yesu Kristu ndiye mchungaji
    Huwalisha kondoo, wakati wake
  2. Huwatengeneza yatima
    pia nao wajane, kwa wema wake
  3. Nitamwimbia Mungu wangu
    ametukuka sana, Bwana wa vita
Kuhani Hata Milele
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CATEGORYZaburi
REFPs. 110; Heb. 7
  • Comments