Kuleni Mwili Wangu Lyrics

KULENI MWILI WANGU

Kuleni mwili wangu, kunyweni damu yangu
Mtaishi milele asema Bwana *2

 1. Mimi ndimi chakula, chakula cha uwingu,
  asema Bwana
 2. Mimi ndiye kinywaji kitokacho mbinguni
 3. Mimi ndiye uzima ushukao mbinguni
 4. Mimi ndiye faraja itokayo mbinguni
 5. Mimi ni njia kweli, iendayo mbinguni
 6. Wote wajao kwangu nitawapa tulizo
 7. Yeye ajaye kwangu atapata uzima
 8. Kaeni ndani yangu nami nikae kwenu milele
Kuleni Mwili Wangu
CHOIR
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
 • Comments