- Kwa kinywa changu nitaziimba sifa zako
Ulimi wangu utanena siku zote
Oh Lord and my savior, I will sing for you *2
Mwili wangu utaja na furaha mbele zako
Moyo wangu utatoa shukurani kwako Baba
- Mikono yangu napeperusha juu hewani
Nashangilia napigapiga hata makofi
- Miguu yangu narusharusha pande zote
Naenda mbio nifike kule uliko nitubu
- Kwa macho yangu nitakuona Mungu wangu
Kwa mawazo yangu nitakuwaza daima
- Kwa masikio yangu nitakusikiliza
Uniitapo nitakuitika milele yote.
|
|
|