[s] Kwa wingi wa fadhili zako,
[w] Kwa wingi wa rehema zako
|s| Bwa-na Bwana nikushukuruje Bwana
|a| Nikushukuruje Bwana nikushukuruje
|t| Bwana Bwana Bwana nikushukuruje Bwana
|b| Nikushukuruje mimi nikushukuruje (sasa)
[w] Mimi nikushukuruje Bwana wangu
- Nitaimba vipi mimi, wimbo gani niimbe
Nimwimbie kwa furaha na shangwe kubwa
- Siku zote ninawaza, kitu gani nimpe,
Kwa maana kila kitu ni mali yako,
|
|
|