Leo Ni Furaha Lyrics

LEO NI FURAHA

Leo ni furaha kweli, vigelegele za arusi kweli
Bwana arusi mpende bibi Arusi
Bibi arusi mpende Bwana arusi
Mume awe kichwa na bibi
Kama Kristu kichwa cha kanisa

  1. Nawe mume mtunze mke wako ukijua ni mwili wako
  2. Nawe mke mtii Bwana wako ukijua ni kichwa chako
Leo Ni Furaha
CHOIR
CATEGORYHarusi
  • Comments