Maneno Yote Lyrics

MANENO YOTE

 1. Maneno yote ya Injili Mitume
  Tangazeni pote duniani *2

  Haya sasa fungueni masikio *2
  Maneno ya Injili yaenezwe

 2. Yesu aliwambia mitume
  Tangazeni pote duniani *2
Maneno Yote
CHOIR
CATEGORYInjili na Miito (Gospel)
 • Comments