Mbele Ya Altare Yako

Mbele Ya Altare Yako
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views4,584

Mbele Ya Altare Yako Lyrics

  1. Mbele ya altare yako
    Mbele ya altare yako twatoa sadaka
    Ee Bwana upokee

  2. Mkate na divai - Ee Bwana upokee
    Mazao ya mashamba - Ee Bwana upokee
  3. Vyote tulivyonavyo -
    Furaha na uchungu -
  4. Fedha za mifukoni -
    Na pia nafsi zetu -
  5. Na sala zetu Baba -
    Na kazi za mikono -
  6. Na kiini cha ngano -
    Yote ni mali yako
  7. Nafaka zetu Baba -
    Twakutolea zote -
  8. Kwake Baba Muumba -
    Kwa njia ya Mwokozi -
  9. Ingawa ni kidogo -
    Twakutolea kwa moyo -