Mchanganyo Lyrics

MCHANGANYO

@ E. A. Minja

Mchanganyo mchanganyo Bwana Yesu amekataa *2

 1. Kiburi kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
  Dharau kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
  Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
  Uwongo kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
  Fitina kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
  Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
 2. Uchawi kidogo unaweka . . .
  Hirizi kidogo unaweka. . .
  Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
  Ulevi kidogo unaweka . . .
  Ugomvi kidogo unaweka. . .
 3. Uchoyo kidogo unaweka. . .
  Ulafi kidogo unaweka . . .
  Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
  Kinyongo kidogo unaweka. . .
  Tamaa kidogo unaweka. . .
  Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
 4. Suria kidogo unaweka . . .
  Na wizi kidogo unaweka. . .
  Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
  Kimini kidogo unavaa. . .
  Na nguo za kubana unavaa. . .
 5. Dhuluma kidogo unafanya. .
  Utoaji wa mimba unafanya. . .
  Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
  Anasa kidogo unafanya. . .
  Uzinzi kidogo unafanya. . .
  Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Mchanganyo
COMPOSERE. A. Minja
CHOIRSt. Cecilia Mirerani
ALBUMMchanganyo
CATEGORYTafakari
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE6
16
NOTES Open PDF
 • Comments