Mezani Pake Lyrics

MEZANI PAKE

@ F. A. Nyundo

Mezani pake twendeni wote,
tukampokee ametualika *2

 1. Mwili wake ni chakula kweli,
  Damu yake ni kinywaji safi
 2. Alaye mwili na kunywa damu,
  Ana uzima wa milele
 3. Mbele ya kwenda tujitakase,
  Tutastahili kumpokea
 4. Karibu Yesu ukae nasi,
  Njia zako utufundishe
 5. Na mwisho tufurahie nawe,
  Katika utukufu wako
Mezani Pake
COMPOSERF. A. Nyundo
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
TIME SIGNATURE2
4
NOTES Open PDF
 • Comments