Mfanyieni Shangwe Lyrics

MFANYIENI SHANGWE

@ F. A. Nyundo

Mfanyieni shangwe dunia yote,
Na mtumikieni kwa furaha

  1. Njooni mbele za Bwana kwa furaha
    Jueni kwamba yeye ndiye Mungu
  2. Alituumba sote watu wake
    Sisi kondoo wa malisho yake
  3. Piteni milangoni kwa shukrani
    Daima shangilia jina lake
Mfanyieni Shangwe
COMPOSERF. A. Nyundo
CATEGORYEntrance / Mwanzo
REFPs. 100
MUSIC KEYKey G Major 2/4
  • Comments