Mfanyieni Shangwe

Mfanyieni Shangwe
Performed byOur Lady of Fatima Kongowea
AlbumKila Mwenye Pumzi (vol 4)
CategoryEntrance / Mwanzo
Views6,980

Mfanyieni Shangwe Lyrics

  1. Mfanyieni Shangwe (shangwe) dunia yote
    Na mtumikieni kwa furaha (nyote) *2

  2. Njoni mbele zake, zake kwa kuimba
    Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu *2
  3. Ndiye alituumba tu watu wake,
    Watu wake na kondoo wa malisho yake *2
  4. Ingieni malangoni kwa kukushukuru
    Nyuani mwake kwa kusifu
  5. Mshukuruni lihimidini jina lake
    Kwa kuwa Bwana ndiye mwema *2
  6. Na rehema zake ni za milele
    Uaminifu wake vizazi na vizazi *2