Mimi Nashindwa Lyrics

MIMI NASHINDWA

Mimi nashindwa ni namna gani nikushukuruje
Bwana (wangu), Kwani mema yote unayonitendea
ni ya ajabu kwangu (mimi)
Sikiliza Bwana kilio changu cha kukushukuru
Ninakushukuru Bwana wangu
mimi nakushukuru Nasema asante (sana) Baba

  1. Unitoe katika bonde la aibu,
    Uniweke katika kundi la kondoo wako
  2. Nilisifu daima jina lako wewe,
    Nikiwa ni shahidi niliye ndani ya Baba
Mimi Nashindwa
CHOIR
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
  • Comments