Mimi Ninapiga Picha Lyrics

MIMI NINAPIGA PICHA

@ Ochieng Odongo

 1. Mimi ninapiga picha mbinguni itakavyokuwa
  Tutakapomwona mwokozi kwenye kiti cha enzi

  Polo to wan wa mor *2
  Mbinguni kutakuwa raha,
  Polo to wan wa mor *2

 2. Siku hiyo ikifika sauti zetu tutapaza
  Tukiimba nyimbo za shangwe
  kwake mwenyezi Mungu
 3. Tutaruka kama ndama pamoja nao malaika
  Tutacheza tukizunguka kiti chake cha enzi.
 4. Tutang’aa kama mwezi vyakula vingi tutakula
  Tutakunywa tukifurahi naye mwanakondoo
 5. Ole wenu wenye dhambi mlango utakapofungwa
  Nguvu zake yeye shetani Bwana atazishinda.
Mimi Ninapiga Picha
COMPOSEROchieng Odongo
CHOIRSt. Benedict Rapogi
ALBUMMbegu Nyingine (Vol 2)
CATEGORYTafakari
 • Comments