Mshukuruni Bwana Lyrics

MSHUKURUNI BWANA

Mshukuruni Bwana yeye ni mwema
Fadhili zake zinadumu milele *2

 1. Kwa mkate wake twasema - asante sana
  Kwa divai yake twasema - asante sana
  (kweli)
 2. Kwa huruma yake twasema - asante sana
  Kwa baraka zake - asante sana
  (kweli)
 3. Kwa upendo wake - asante sana
  Kwa fadhili zake - asante sana
  (kweli)
Mshukuruni Bwana
CHOIR
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
REFPs. 136
 • Comments