Mtakatifu (Misa Elizabeti)

Mtakatifu (Misa Elizabeti)
Performed by-
CategoryTBA
Views2,938

Mtakatifu (Misa Elizabeti) Lyrics

  • Mtakatifu mtakatifu mtakatifu
    Mtakatifu Mungu wa majeshi
    Ulimwengu, ulimwenguni
    Umejaa sifa yako, Bwana


    Hosanna, hosanna *2 hosanna juu mbinguni *2
  • Mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana *2
  • Hosanna, hosanna *2 hosanna juu mbinguni *2