Mtumikieni Bwana kwa Furaha Lyrics

MTUMIKIENI BWANA KWA FURAHA

Mtumikieni Bwana kwa furaha *2
{ Njooni mbele zake (mbele zake ) *2
Mbele zake, njooni mbele zake kwa kuimba } *2

 1. Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu,
  Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake
  Tu watu wake na kondoo wa malisho yake
 2. Kwa kuwa Bwana Mungu ndiye mwema,
  Rehema zake, rehema zake ni za milele,
  Na uaminifu wake ni wa vizazi na vizazi
Mtumikieni Bwana kwa Furaha
CATEGORYZaburi
SOURCEMwanza
 • Comments