Mtumikieni Kwa Furaha Lyrics

MTUMIKIENI KWA FURAHA

Mtumikieni Bwana kwa furaha, *2
Njooni mbele zake (mbele zake )*2
Mbele zake, njooni mbele zake kwa kuimba*2

 1. Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu,
  Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake
  Tu watu wake na kondoo wa malisho yake
 2. Kwa kuwa Bwana Mungu ndiye mwema,
  Rehema zake, rehema zake ni za milele,
  Na uaminifu wake ni wa vizazi na vizazi
Mtumikieni Kwa Furaha
CHOIRSt. Theresa wa Mtoto Yesu, Mwanza
ALBUMKila Kunapokucha
CATEGORYZaburi
 • Comments