Mungu kwa Wema Wako Lyrics

MUNGU KWA WEMA WAKO

@ C. Ndege

{ Ee Mungu kwa wema wako, Bwana uliwahifadhi,
Uliwahifadhi wote walioonewa } *2

  1. Wenye haki watafurahi, washangilie uso wa Mungu
    Naam watapiga kelele, kelele za furaha
  2. Mwimbieni mwimbieni Mungu, lisifuni Jina lake,
    Furahini katika Bwana shangilieni mbele zake
  3. Ndiye Baba wa yatima, na mwamuzi wa wajane
    Mungu katika kao lake kao lake takatifu
Mungu kwa Wema Wako
COMPOSERC. Ndege
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CATEGORYZaburi
REFPs. 68
MUSIC KEYA Major
TIME SIGNATURE3
8
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
NOTES Open PDF
  • Comments