Mungu Wangu Usimame Lyrics

MUNGU WANGU USIMAME

Mungu wangu usimame liangalie taifa lako
Wote wamekusanyika kukutolea wewe shukurani

 1. Vijana hata na wazee wote wanakutukuza wewe
  Wanaimba kwa furaha na shangwe pia vigelegele
  Nyimbo zao waimba hata mawe pande zote za nchi
 2. Watoto, baba na mama wanalitukuza jina lako
  Wanacheza ngoma pia na vinanda matari na vinubi
  Nia ni kukutukuza wewe Mwokozi wa dunia
Mungu Wangu Usimame
CHOIR
CATEGORYGeneral
 • Comments