Mwokozi Amezaliwa Lyrics

MWOKOZI AMEZALIWA

Amka kinanda ngoma na zeze, zeze tulipige
Ngoma na tucheze, Mwokozi amezaliwa *2
Mji wote ni furaha chereko na vifijo,
Nao malaika wanaimba kwa furaha
Gloria Gloria Gloria Gloria Gloria glo-ria

  1. Bwana Yesu Kristu kazaliwa leo Bethlehemu
    Nao malaika wanashangilia Mbinguni
  2. Waumini wote njoni kwa furaha tuimbe
    Chereko chereko kazaliwa Bwana aleluya
  3. Tufurahi sote Bwana Yesu Kristu kazaliwa
    Amka kinanda ngoma pia zeze shangilia
Mwokozi Amezaliwa
CHOIR
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
  • Comments