Mwokozi Amezaliwa Tufurahi Lyrics

MWOKOZI AMEZALIWA TUFURAHI

Mwokozi amezaliwa
Tufurahi tuimbe aleluya tumshangilie tufurahi
(Leo) Tumwimbie, Tumwimbie nyimbo za Shangwe
(Za shangwe) aleluya

  1. Ni Mkombozi wetu sisi wanadamu,
    Amekuja kwetu kututoa katika utumwa wa Shetani *2
  2. Ni siku nzuri ya wokovu tufurahi
    Mwokozi amezaliwa aleluya *2
  3. Bwana wake Mungu anayeondoa dhambi za dunia
    Kaa nasi Yesu katika maisha leo na milele
Mwokozi Amezaliwa Tufurahi
CHOIR
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
  • Comments