Nakulilia Nikiwa Chini

Nakulilia Nikiwa Chini
Performed bySt. Benedict Rapogi
AlbumHuyu Ni Yesu (Vol 1)
CategoryZaburi
Views3,352

Nakulilia Nikiwa Chini Lyrics

  1. Nakulilia nikiwa chini Bwana, Nakulilia unisikilize
    Nakulilia sikiliza sauti yangu (Bwana) nikiwa chini

  2. Roho yangu inatamani inatamani shibe zako
  3. Ee Bwana unisamehe, unisamehe nakusihi
  4. Nakuomba ee Baba yangu, ee Baba yangu niongoze
  5. Ninakulilia nikiwa chini, nikiwa chini sikiliza