Nalisifu Jina La Baba Lyrics

NALISIFU JINA LA BABA

 1. Nalisifu jina la Baba wa mbinguni,
  Nalisifu jina la Baba

  Bwana wangu unilinde vyema
  Unilaze kifuani mwako
  Bwana mwema a Bwana mwema

 2. Maisha yangu natoa kwako Bwana mwema
  Maisha yangu natoa kwako
 3. Nashukuru fadhili zako za milele,
  Nashukuru fadhili zako
Nalisifu Jina La Baba
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
 • Comments