Nasadiki (Misa Pamoja)

Nasadiki (Misa Pamoja)
Performed by-
CategoryTBA
Views3,350

Nasadiki (Misa Pamoja) Lyrics

  1. Nasadiki kwa Mungu Baba mwenyezi/
    Mwumba Mbingu na dunia

    Nasadiki nasadiki

  2. Na kwa Yesu Kristu/ Mwanaye wa pekee Bwana wetu
  3. Aliyetungwa kwa Roho Mtakatifu/ Akazaliwa na Bikira
  4. Akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato/
    Akasulubiwa/ akafa/ akazikwa/ akashukia kuzimu
  5. Siku ya tatu akafufuka katika wafu/ Akapaa Mbinguni/
    Amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi
  6. Toka huko atakuja/Kuwahukumu wazima na wafu
  7. Nasadiki kwa Roho Mtakatifu/Kanisa takatifu Katoliki
  8. Ushirika wa watakatifu/Maondoleo ya dhambi
  9. Ufufuko wa miili/Uzima wa milele. Amina