Neema ya Roho Lyrics

NEEMA YA ROHO

@ John Mgandu

{ Neema ya Roho Mtakatifu iko na nguvu na uwezo,
Wa kutuhakikishia sisi kwamba ana uwezo,
kusafisha dhambi zetu, kusafisha dhambi zetu } *2

  1. Na kutuunganisha sisi na Mungu kwa njia ya imani
    Imani kwa Yesu Kristu kwa njia ya ubatizo
  2. Kwa njia ya Roho Mtakatifu, tunashiriki mateso
    Mateso ya Yesu Kristu kwa kuifia dhambi
Neema ya Roho
COMPOSERJohn Mgandu
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
MUSIC KEYB Flat Major
TIME SIGNATURE2
4
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
NOTES Open PDF
  • Comments